Timu ya wanasheria wazoefu ipo tayari kukuhudumia kwa masuala yafuatayo;
Migogoro ya Ardhi – Ikiwemo umiliki wa ardhi, mipaka, na makubaliano ya ardhi. Masuala ya Ndoa na Familia – Msaada kuhusu talaka, matunzo ya watoto, na haki za wanandoa.
Haki za Watoto – Kutetea na kulinda ustawi wa watoto wetu.
Haki za Kazi – Masuala ya ajira, mishahara, na haki zako mahali pa kazi.
Ushauri wa Kisheria wa Jumla – Kwa changamoto zozote za kisheria zinazohitaji maelezo na msaada. Haki yako ni msingi wa maendeleo yako! Usikubali changamoto za kisheria zikutatize, fursa hii ni yako. Jitokeze kwa wingi na usaidie kujenga jamii yenye haki, usawa, na ustawi wa kweli.
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
@katibanasheria_
.kabudipjam
.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi