Kampeni hii inaonesha mfano bora wa ushirikiano kati ya Serikali na wananchi kwa vitendo, ambapo viongozi wa serikali wamekuwa mstari wa mbele kutoa huduma na kusikiliza wananchi moja kwa moja. @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official @katibanasheria_ @mslegalaidcampaign
@tanganyikalawsociety #mslac #kampeniyamsaadawakisheria #sheria #msaadawasheria #hakikwawote #katibanasheria #sheria #haki #hakinasheria #hakinawajbu #wakilimsomi #wakili #lawschool #tanganyikalawsociety