Skip to main content

USAWA KWA WATU WOTE

Submitted by admin on 11 April 2024

Katiba ya Tanzania inathibitisha usawa mbele ya sheria kwa watu wote. Ibara ya 13(1) inalinda haki ya kila mtu kutendewa kwa usawa na kuheshimiwa na sheria bila ubaguzi. Hii inamaanisha hakuna mtu anayepaswa kunyimwa haki. #MSLAC #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza