Skip to main content

Usikate Tamaa, Haki Ipo – Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Inakuhusu!

Submitted by admin on 30 August 2024

Kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), unapewa fursa ya kupata msaada wa kisheria kwa changamoto yoyote inayokukabili. 

#MSLAC #Katibanasheria