Skip to main content

Uzinduzi wa kampeni hii katika Mkoa wa Mara umefanyika kwa:

Submitted by admin on 11 December 2024

Kushirikisha Taasisi za Kisheria: Hii ni pamoja na wanasheria wa kujitolea, Tanganyika Law Society, na vikundi vya jamii vilivyojitolea kusaidia kufikisha huduma hizo hadi vijijini. Uhamasishaji wa Kijamii: Kupitia mikutano ya hadhara, vyombo vya habari, na matangazo, kampeni inalenga kufikia makundi yote ya kijamii, hususan wanawake, watoto, na watu wenye ulemavu. Usaidizi wa Kisheria Moja kwa Moja: Kutoa msaada wa kisheria mahali hapo kwa wananchi wenye changamoto za kisheria, ikiwa ni pamoja na kufungua mashauri, ushauri wa kisheria, na mwongozo wa haki zao.

Image

Image

Image