Skip to main content

UZINDUZI WA KAMPENI YA KITAIFA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA: ARUSHA

Submitted by admin on 28 March 2025

Karibu kushuhudia uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria iliyoanzishwa chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan! 🎉 Kampeni hii inalenga kuwapa wananchi elimu ya sheria, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, na kuimarisha upatikanaji wa msaada wa kisheria nchini Tanzania.

🔴 Jiunge nasi moja kwa moja kutoka Arusha kwa tukio hili la kihistoria!

📅 Tarehe: 28/03/2025

📍 Mahali:ARUSHA, Uwanja wa Ngarenaro

⏰ Muda: Kuanzia Asubuhi

💬 Usisahau ku-like, kushare, na ku-subscribe kwa habari zaidi! 📢 Tufuatilie kwa mitandao ya kijamii: Mama Samia Legal Aid Campaign

#MsaadaWaKisheria #MamaSamia #HakiKwaWote #Arusha #Tanzania