Tazama uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikilenga kutoa elimu ya haki za kisheria na huduma za ushauri kwa wananchi. Kampeni hii inalenga kusaidia jamii kuelewa haki zao na kupata msaada wa kisheria kwa urahisi. Jiunge nasi kushuhudia mafanikio na athari chanya kwa wananchi wa Pwani!
🔴 Usisahau ku-like, kushare na ku-subscribe kwa video zaidi!