Jiunge nasi moja kwa moja kwa tukio kubwa la uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Arusha! Kampeni hii inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi, hususan wanawake, vijana, na makundi yenye uhitaji ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
π Mahali: Arusha, Tanzania
π Tarehe: 04 Machi 2025
β° Muda: Kuanzia asubuhi
Usikose kufuatilia moja kwa moja ili kushuhudia hatua hii muhimu ya kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote!