Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 18 Februari 2025
📍 Mahali: Mwanza
⏰ Muda: Kuanzia saa 3:00 asubuhi Usikose!
Subscribe channel huu kwa updates na taarifa muhimu kuhusu msaada wa kisheria. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya