Skip to main content

UZINDUZI WA MSLAC MKOA WA MOROGORO

Submitted by admin on 13 December 2024

Picha za matukio mbalimbali kwenye uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria Ya Mama Samia Kwa Mkoa Morogoro ambapo yanafanyika katika uwanja wa stendi ya Zamani katika Manispaa ya Morogoro na Mgeni rasmi katika uzinduzi huu ni Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa Dkt Damas Ndumbaro.

#MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @ biteko

@katibanasheria_