Nikatika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia mwananchi akifurahia wakati waziri wa katiba na sheria dkt: Damasi Ndumbaro akisikiliza na kutatua kero za baadhi ya wananchi waliofika katika viwanja vya Tangamano kupata huduma ya msaada wa kisheria, ikiwa nisehemu ya hotuba ya waziri wa katiba na sheria.