Skip to main content

Wanachama na viongozi wa TK Movement Wilaya ya Geita wamepata fursa adhimu ya kupokea elimu ya msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC)