Skip to main content

Wanafunzi wa shule ya Msingi Makomelo iliyoko kata ya ijanija wakisikiliza kwa makini elimu ya msaada wa kisheria kutoka timu ya msaada wa kisheria ya Mama Samia katika Halmashauri ya mji Nzega