Picha za wananchi waliojitokeza kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha, uzinduzi unaofanyika katika Uwanja wa Ngarenaro leo, Machi 28, 2025.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi huu ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt Dkt. Damas Ndumbaro