Katika jitihada za kuhakikisha haki inapatikana kwa kila Mtanzania bila ubaguzi, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kuwafikia wananchi wa kada zote nchini. Kupitia huduma hii bure, wananchi wengi sasa wanapata elimu ya kisheria, msaada wa mashauri yao mahakamani, na njia mbadala za utatuzi wa migogoro.
Katika video hii, tunaangazia ushuhuda wa wananchi walioguswa, mafanikio ya kampeni hii, na dhamira ya Serikali kuendelea kusogeza huduma za kisheria karibu zaidi na wananchi.
🎯 Haki kwa Wote – Sauti za Watanzania!
🔔 Subscribe kwa habari zaidi za maendeleo na haki kwa wananchi.
#MamaSamia #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #TanzaniaInasongaMbele