Skip to main content

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana, akitoa msaada wa kisheria kwa baadhi ya wananchi mjini Njombe.

Submitted by admin on 29 May 2024

Kampeni hii, iliyoanzishwa na Mama Samia, inalenga kutoa huduma za kisheria, kuboresha upatikanaji wa haki, na kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya kisheria. #MSLAC