Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana, Naibu Waziri Jumanne Abdallah Sagini, na Katibu Mkuu wa Wizara, Bi. Marry Makondo. Wakiwa kwenye mazungumzo wakijadili jinsi wananchi wanavyoweza kufaidika na kampeni hii ya msaada wa kisheria iliyoanzishwa