Skip to main content

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Juma Homera anakutana na watendaji waliochini ya Wizara hiyo wa Mkoa wa Morogoro Kuakisi utendani ambao ni Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali, Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali OSG, Mahakama ya Tanzania na RITA

Submitted by admin on 5 January 2026

Image

Image

Image