Misungwi, Mbela na old Misungwi ikiwa ni pamoja na kutambulisha rasmi Kampeni Ya mama samia Legal aid, pia wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia na haki za watoto katika shule ya sekondari Misungwi, shule ya msingi old Misungwi na shule ya sekondari Mwambola wakiambatana na Mawakili, Afisa Ardhi, teamleader kutoka Wizara ya katiba na sheria, Afisa dawati la jinsia polisi pamoja, Afisa ustawi na Msajili wa mashirika binafsi.