Skip to main content

Zanzibar Yaandika Historia Mpya – Serikali Yatoa Huduma za Kisheria Bure kwa Wananchi

Submitted by admin on 24 April 2025

Kwa mara ya kwanza katika historia, Serikali kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeanza kutoa huduma za kisheria bure kwa wananchi wote wa Zanzibar! 🏝️⚖️

Katika tukio lililojaa hamasa na matumaini, wananchi kutoka kila kona ya Visiwa vya Unguja na Pemba wamejitokeza kwa wingi kupata msaada wa kisheria kuhusu masuala ya ardhi, ndoa, mirathi, ajira, ukatili wa kijinsia na haki za watoto.  

🎥 Tazama video hii ujionee namna Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inavyoweka msingi wa haki kwa wote kupitia huduma rafiki, bora, na zinazofikika kwa kila Mtanzania.  

🔔 Subscribe, like & share*ili ujumbe huu uwafikie Watanzania wengi zaidi!

#MSLAC #MamaSamia #HudumaZaKisheria #Zanzibar2025 #HakiKwaWote #SamiaSuluhuHassan #LegalAidZanzibar