Skip to main content

BAADA YA JITIHADA ZA MIAKA MIWILI BILA MAFANIKIO; MSLAC YAFANIKISHA BI EVA KUOKOA NYUMBA YAKE KIBAHA

Submitted by admin on 21 January 2025

MSLAC yaiokoa kupigwa mnada na Benki.

NI baada ya Mumewe kukopa kiasi kikubwa cha fedha, kuweka nyumba hiyo kama dhamana bila kumshirikisha mkewe kisha kutoweka na fedha za mkopo kusikojulikana.