Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Kwa ufupi wa kitaalamu, ninapolichambua kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na kanuni za vyama vya kitaaluma (professional bodies), majibu haya yana msingi sahihi katika maeneo yafuatayo: 1. Wajibu wa TLS wa Kutoa Legal Aid na Dock Brief Kwa mujibu wa Katiba (Ibara ya 13(6)(a)) na pia kwa mujibu…
Posted:
Muktadha wa Muungano Tanganyika: Ilikuwa koloni la Uingereza, lilipata uhuru tarehe 9 Desemba 1961 chini ya Julius Nyerere na Chama cha TANU. Ilikuwa bara lenye uchumi wa kilimo na makabila zaidi ya 120. Zanzibar: Visiwa vya pwani ya Afrika Mashariki, vilivyokuwa chini ya Uingereza na nafasi ya…
Posted:
Tunapoadhimisha siku hii adhimu, tuendelee kuuenzi Muungano kwa kushirikiana,kuheshimiana na kudumisha misingi ya haki, usawa na maendeleo kwa wote
Posted:
Katika video hii, tunakuletea maoni ya wanazuoni na waratibu wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wakizungumzia namna kampeni hii imeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa haki nchini Tanzania. Kwa sauti zao wenyewe, wanasema: "Huu ni mlango wa haki kwa Watanzania wote!" 📌 Tazama…
Posted:
Kwa mara ya kwanza katika historia, Serikali kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeanza kutoa huduma za kisheria bure kwa wananchi wote wa Zanzibar! 🏝️⚖️Katika tukio lililojaa hamasa na matumaini, wananchi kutoka kila kona ya Visiwa vya Unguja na Pemba wamejitokeza kwa wingi…
Posted:
Wakurugenzi pamoja  na wataalamu wa sheria katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia unaofanyika mkoa wa kaskazini unguja ambapo mgeni rasmi ni Mheshimiwa Dkt. Haroun Ali Suleiman.
Posted:
#MSLAC #SheriaKwaWote #HakiNiMsingiWaMaendeleo #SamiaSuluhuHassan #TanzaniaLegalReform
Posted:
Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) umefanyika tarehe 23 Aprili 2025 katika Kaskazini Unguja, ukiandaliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Rais - Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora chini ya Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria. Mgeni…
Posted:
Zanzibar, 23 Aprili 2025 - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mheshimiwa Dkt. Haroun Ali Suleiman akiwasili katika viwanja vya mkwajuni mkoa wa kaskazini unguja unapo fanyika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia(MSLAC ).
Posted:
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, imetangaza kuwa asilimia 75 ya wananchi wa Zanzibar wanatarajiwa kufikiwa na huduma za msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia, itakayozinduliwa rasmi tarehe 23 Aprili 2025 katika Mkoa wa…
Posted:
#mslac #kampeniyamsaadawakisheria #sheria #msaadawasheria #hakikwawote #katibanasheria #sheria #haki #hakinasheria #hakinawajbu #wakilimsomi #wakili #lawschool #tanganyikalawsociety #DktNdumbaro
Posted:
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa kushirikiana na Wizara ya katiba na sheria, inatarajia kuzindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria visiwani Zanzibar tarehe 23 Aprili 2025. Uzinduzi huu utafanyika katika viwanja vya Mkwajuni, Wilaya ya Mjini, Unguja. Mgeni rasmi katika hafla hii atakuwa…