Skip to main content

Bi. Veronica Sigalla akimwakilisha Mkurugenzi mkazi wa UNDP hapa nchini amelishukuru Jeshi la Magereza kwa kazi kubwa wanayofanya kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kupunguza kasi kubwa ya malalamiko ya ukiukwaji wa Haki za binadamu.