Skip to main content

Dawati la msaada wa kisheria Halimashauri ya wilaya ya Handeni tumefanikiwa kutembelea wananchi wa kata ya segera kijiji cha michungwani kutoa elimu ya msaada wa kisheria, matunzo ya watoto na ukatili wa kijinsia