Kampeni hii inalenga kuondoa vikwazo vya kijiografia na kiuchumi kwa kupeleka msaada wa kisheria hadi vijijini na maeneo ya mbali. Kupitia juhudi za wahudumu wa msaada wa kisheria, mwanga wa haki unawafikia wote, huku ikiwahamasisha wananchi kuelewa haki zao, kutatua migogoro, na kushiriki katika mchakato wa kisheria kwa ufanisi. Hii ni safari ya haki kwa wote, bila upendeleo.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_mpango