Skip to main content

DR. ALICE KAIJAGE AWAHIMIZA WA TANZANIA KUJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA.

Submitted by admin on 3 March 2025

Dr. Alice Kaijage anatoa wito kwa Watanzania wote kujitokeza kwa wingi ili kunufaika na huduma za msaada wa kisheria. Katika hotuba yake, anasisitiza umuhimu wa wananchi kufahamu haki zao za kisheria na jinsi msaada wa kisheria unavyoweza kuwasaidia katika kutatua changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa, unyanyasaji wa kijinsia, na haki za wafanyakazi.  

๐Ÿ“Œ Huduma hizi zinapatikana bure na zina lengo la kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, bila ubaguzi.

Jiunge nasi katika kampeni hii kwa kushiriki video hii ili kuwafikia Watanzania wengi zaidi!  

๐Ÿ””Usisahau ku  

โœ… Subscribe kwa habari zaidi za msaada wa kisheria  

โœ… Like  na Comment maoni yako  

โœ… Share kwa marafiki na familia ili kueneza uelewa  

#MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #DrAliceKaijage #SamiaLegalAidCampaign #MSLAC #Tanzania