Skip to main content

DR. NDUMBARO AKIMPATIA ELIMU YA MIRATHI MWANANCHI AMBAE NI MSISIMAZI WA MIRATHI YA FAMILIA.

Submitted by admin on 5 March 2025

Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akimpatia elimu ya mirathi mwananchi anayesimamia urithi wa familia yake. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutoa elimu ya sheria ili kuhakikisha haki na usawa vinazingatiwa katika masuala ya mirathi. 

Tazama maelezo muhimu kuhusu usimamizi wa mirathi!  

#ElimuYaMirathi #HakiKwaWote #DamasNdumbaro #SerikaliYaAwamuYaSita #MSLAC