Skip to main content

DR. NDUMBARO AMPATIA MTAALAMU WA DAWATI LA JINSIA MAMA AMBAYE ANA DAI HAKI YA KULELEWA MTOTO WAKE.

Submitted by admin on 5 March 2025

Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, Amsaidia mama anayepigania haki ya kulelewa mtoto wake kwa kumpatia msaada kupitia mtaalamu wa Dawati la Jinsia. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha haki za wananchi, hususan wanawake na watoto, zinalindwa na kutekelezwa ipasavyo. Tazama hatua alizochukua Waziri katika kuhakikisha mama huyu anapata haki yake!  

🔴 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa habari zaidi!  

#HakiKwaWote #DamasNdumbaro #DawatiLaJinsia #SerikaliYaAwamuYaSita #MSLAC #sisinitanzania #katibanasheria #ssh #ccm #kaziiendelee #matokeochanya #nchiyangukwanza #habari #habari #news