Skip to main content

🌙 Eid Mubarak!

Submitted by admin on 30 March 2025

Tunawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Sikukuu hii iwe ya amani, upendo, na msamaha kwa kila mmoja. Tunatambua umuhimu wa haki, usawa, na mshikamano wa kitaifa—na ni kwa moyo huo tunawashukuru wote wanaojitokeza kupaza sauti za haki na kujifunza kuhusu msaada wa kisheria kupitia kampeni yetu ya MSLAC.

Katika msimu huu wa baraka, tuendelee kuenzi utu, kuelimishana kuhusu haki zetu, na kujenga jamii yenye haki kwa wote.

Eid Mubarak kutoka MSLAC #MSLAC2025 #EidMubarak #HakiKwaWote #SioNdotoTena #MSLAC #Sisinitanzania