Timu ya MSLAC Ikungi mkoani Singida ikiendelea kutoa elimu kwa wananchi na wanafunzi katika vijiji vya Kaugeri, Mlandala na Mwaru, Kata ya Mwaru na kufanikiwa kushiriki na kutoa elimu kwenye mkusanyiko wa takribani watu 320 wakati wa dua ya hitima ya mmoja wa mkazi katika kijiji cha Mwaru. Elimu kuhusiana na masuala ya kisheria, Haki na Wajibu inatolewa hadi mashuleni.
- Log in to post comments