Elimu zilizotolewa ni pamoja na maana ya ukatili, aina za ukatili pamoja na mifano yake, sababu zinazopelekea ukatili katika jamii, athari za ukatili, jinsi ya kuepika ukatili na namna ya kutoa taarifa kulingana na ngazi za kiserikali
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya