Skip to main content

Halmashauri ya jiji la Tanga dawati la msaada wakisheria,jana limefanikiwa kujitambulisha na kutoa elimu katika kata za majengo na chumbageni ambazo ni kata za mwisho kati ya kata 27 ambazo dawati limezunguka katika kata hizi zote

Submitted by admin on 13 February 2025

Image

Image

Image