Maafisa Maendeleo ya Jamii wametembelea Kata ya Sambasha ambapo wamefanikiwa kufika shule ya Msingi pamoja na Sekondari Sambasha ili kuweza kuwapatia Elimu juu ya msaada wa kisheria.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya