Tarehe 26/05/2024, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, Itafanyika Mkoani Njombe. Na huduma hii ni Bure kabisa kwa Watu wote wataohitaji msaada wa kisheria. TUKO HAPA KUKUHUDUMIA! #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #KaziIendelee
mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/05/msaada