Kampeni kama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) zinalenga kutoa elimu ya kisheria, kushughulikia matatizo ya kisheria yanayowakumba wananchi, na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya