ikilenga kuwahamasisha wananchi kujua haki zao za kisheria, kupunguza migogoro ya kijamii, na kuimarisha utawala wa sheria. Kampeni hii, inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Tanganyika Law Society (TLS) na Serikali, inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa makundi yote, hususan wanawake, watoto, na watu wanaoishi katika mazingira magumu.
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango