Skip to main content

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inalenga kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao kisheria, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuhakikisha utawala wa sheria unatekelezwa kwa ufanisi