Skip to main content

KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA (MSLAC) FURSA ADIMU BARANI AFRIKA

Submitted by admin on 20 March 2025

"Kupata aina ya makubaliano ni fursa kubwa, kwani wengi hawapati nafasi ya kusikilizwa kwa haki kuhusu matatizo yao. Hasa barani Afrika, fursa hii ni adimu kwa wengi. Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa huduma hii muhimu kwa Watanzania, ambayo inatoa haki na usawa kwa wote."

Pastor George - kutoka Cameroon.