Mafanikio katika udhibiti wa haki jinai kwa miaka mitatu yametokana na juhudi za pamoja za serikali, taasisi za kisheria, jamii, na washirika wa kimataifa katika kuboresha mifumo ya kisheria na kudumisha usalama na utulivu wa kijamii. #SSH #KaziIendelee #Sisinitanzania #MSLAC