Skip to main content

Katiba ya Tanzania inatambua haki za msingi za kila raia, ikiwa ni pamoja na haki ya usawa mbele ya sheria (Ibara ya 13). Katika ndoa

Submitted by admin on 2 December 2024

Haki hizi zinahakikisha kuwa wanandoa wote wanatendewa kwa usawa bila kujali jinsia au hali ya kiuchumi. Sheria pia inahimiza maelewano, heshima, na usaidizi wa pamoja kati ya wanandoa, ambayo ni msingi wa amani ya familia. 

https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/12/msaada-wa-kisheria-katika-migogoro-ya.html… #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya