Skip to main content

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria akitoa huduma ya msaada wa kisheria kwa mwananchi aliyetembelea banda la MSLAC

Submitted by admin on 7 July 2024

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo, akitoa huduma ya msaada wa kisheria kwa mwananchi aliyetembelea banda la Mama Samia Legal Aid Campain kwenye maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) barabara la Kilwa wilayani Temeke

Image

Image

 #MSLAC