Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, ilijikita katika kutoa elimu muhimu kwa jamii kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia na msaada wa kisheria. Maafisa wa Dawati la Msaada wa Kisheria, kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign, walifanikiwa kufikisha ujumbe wa kupinga ukatili wa kijinsia na kutoa elimu kuhusu upatikanaji wa msaada wa kisheria.
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya