Skip to main content

Kila Mtanzania anayo haki ya kupata msaada wa kisheria bure. Kwa kuzingatia hilo Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ipo kwaajili yako, Kukusikiliza, Kukusaidia na kukuvusha katika misukosuko ya upindishwaji wa sheria juu yako.