Skip to main content

Kutoka *halmashauri ya manispaa ya kinondoni kata ya mabwepande mtaa wa Bunju A na bunju B*

Submitted by admin on 20 December 2024

Leo tulitembelea sehemu mbalimbali kama masokoni bunju B na bunju A, kwenye vijiwe vya boda boda na bajaji, stendi ya daladala na kufanikiwa kuonana na mwenyekiti wa umoja wa madereva na madereva wake mama lishe wote wa bunju A na B na vikundi mbali mbali vya watu na kuwapa elimu juu ya msaada wa kisheria. #MSLAC @Sheria_Katiba@sisiniTanzania

Image

Image

Image