Skip to main content

Kuwajenga Maafisa Wa Jeshi La Polisi Na Magereza Katika Masuala Ya Huduma Za Msaada Wa Kisheria

Submitted by admin on 12 June 2024

Kamishna wa Sheria na uendeshaji wa Magereza Nchini CP Nicodemus Menyamsumba Tenga amewataka Maafisa wa Jeshi la Polisi na Magereza nchini kuhakikisha wanasimamia haki zote za binadamu katika maeneo yao ya kazi.