Skip to main content

Kwa kutoa msaada na kuhakikisha kuwa haki inapatikana kwa wananchi

Submitted by admin on 28 June 2024

Kampeni hii inachangia utawala bora. Utawala bora unajumuisha uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi na utekelezaji wa sheria na sera za umma. #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #SSH #ccm