Skip to main content

KWA MIKAKATI HII , MSLAC INATOA MSAADA MKUBWA WA KISHERIA KWA WANANCHI.

Submitted by admin on 13 February 2024

#MSLAC imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.