Sheria hii inalenga kuhakikisha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kugharamia huduma za kisheria. Kupitia sheria hii, elimu ya kisheria inahamasishwa kama njia ya kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya