Skip to main content

Leo MSLAC Inaendelea katika Mkoa wa Lindi

Submitted by admin on 21 February 2025

Wilaya ya Nachingwea Kata ya MPIRUKA Kijiji cha Mkumba Elimu juu Kampeni ya mama samia legal aid Inaendelea kutolewa kwa wanakijiji wa kijij cha Mkumba kwenye masuala ya ardhi, mirathi na wosia, ndoa, ukatili wa kijinsia nk.
@mslegalaidcampaign @katibanasheria_ @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ikulu_habari

@kassim_m_majaliwa @damasndumbaro_official #sheria #sherianakatiba #katibanasheria #sheriatanzania #sisinitanzania #tanzaniampya #mamasamia #samiasuluhu #msaadawamama #mslac #mslactanzania #drdamasndumbaro #wizarayakatibanasheria