Skip to main content

Leo Tar 14/01/2025 Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinafikia Watanzania kwa ufanisi

Submitted by admin on 14 January 2025

Katika hatua ya kuimarisha utekelezaji wa kampeni hii, mafunzo maalum yametolewa kwa waratibu wa MSLAC kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Image

Image
Mafunzo haya yamewalenga waratibu wa kampeni kwa lengo la kuwaongezea ujuzi na maarifa ya jinsi ya kusimamia, kuratibu, na kufikisha huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa ufanisi zaidi.

@ester_msambazi @damasndumbaro_official #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya